Judges 17:4-5

4 aHivyo akamrudishia mama yake ile fedha, naye mama yake akachukua shekeli mia mbili
Shekeli 200 za fedha ni sawa na kilo 2.3 za fedha.
za hiyo fedha na kumpa mfua fedha, ambaye aliifanyiza kinyago na sanamu. Navyo vikawekwa ndani ya nyumba ya Mika.

5 cBasi Mika alikuwa na mahali pa kuabudia miungu, akatengeneza naivera, pamoja na vinyago, na kumweka mmoja wa wanawe kuwa kuhani wake.
Copyright information for SwhNEN